Sungura na Mwewe na Hadithi Nyingine
Sungura na Mwewe ni hadithi yenye mvuto wa kipekee.
Hadithi hii inasimulia urafiki wa chanda na pete kati ya
Sungura na Mwewe. Hata hivyo, urafiki huu unayumbishwa
na hila, tamaa na ubinafsi. Kutokana na ubinafsi huu,
mwisho wa hadithi hii unatawaliwa na kilio na majonzi. Je,
ni nini kinasababisha ubinafsi huu? Ni nani anayemilikiwa
na ubinafsi kiasi cha kusaliti urafiki wa kufa kuzikana?
Kitabu hiki kinajumuisha hadithi nyingine zenye msisimko
wa aina yake.
Tujifunze Pamoja ni msururu wa hadithi zilizoandikwa
kwa kuzingatia mtalaa wa umilisi. Lengo la msururu huu ni
kumwezesha mwanafunzi kupata ujuzi wa kuimarisha stadi
ya kusoma, kukuza maadili yake na kumsaidia katika
kufanya maamuzi ya busara maishani.
KES 200
International delivery
Free click & collect
UPC | 9789966141408 |
---|---|
Author | Yahya Mutuku |
Pages | 82 |
Language | Swahili |
License period | 1095 |
Format | |
Publisher | Queenex Publishers Ltd |
SKU | 9789966141408 |
None