Shujaa Meta na Hadithi Nyingine
Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Nne na
kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na
msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza
maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko.
Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni:
Ushauri Nasaha
Bendera ya Taifa
Matunda na Mimea
Wanyama wa Porini
KES 200
International delivery
Free click & collect
UPC | 9789966141378 |
---|---|
Author | Pauline Kea |
Pages | 60 |
Language | Swahili |
License period | 1095 |
Format | |
Publisher | Queenex Publishers Ltd |
SKU | 9789966141378 |
None