Nguu za Jadi


“Ole wako ewe mwanamume uishiye leo. Unayechakura mapipa ili kuizima njaa. Uliikosea nini jamii hata usalie kuwa ombaomba?..." Mangwasha anathubutu kuuvua mbeleko ujadi wa juzi na leo unaokakawana kuwadhulumu watoto na vijana katika dunia ya leo. Je, Mangwasha atafaulu kufungua ukurasa mpya wa maisha ya mtoto huyu? Je, ataweza kuzivunja nguu ainati za jadi ambazo zinadidimiza nafasi yake katika jamii. Bila shaka zao hili lenye umahiri na ubunifu mkubwa litamwezesha msomaji kuandamana na mhusika huyo katika kutafuta suluhu dhidi ya matatizo yanayokumba kizazi kipya ka
KES 500
International delivery
Free click & collect
UPC9789966141613
Author Clara Momanyi
Pages 192
Language Swahili
License period 1095
Format PDF
Publisher Queenex Publishers Ltd
SKU9789966141613
None

Reviews

Leave a product review
or cancel

Products you recently viewed