Mwati na Swale Mashakani na Hadithi Nyingine
Kumbo hili la hadithi za kupendeza zenye mguso wa Kiafrika tena za Mwati na Swale Mashakani
kifoniki lina jumla ya hadithi kumi na sita. Kila hadithi inaanza kwa
kutanguliza sauti lengwa, vianzio, maneno teule, na maneno yenye urari.
Hadithi hizi zinalenga kurahisisha ufunzaji wa stadi maalum za usomaji.
Msururu huu utamsaidia msomaji kukuza stadi za usomaji darasani na
kupalilia tabia ya kusoma maktabani na katika mazingira mbalimbali
ikiwemo nyumbani na hivyo kukuza stadi za maisha na maadili.
KES 200
International delivery
Free click & collect
UPC | 9789966140708 |
---|---|
Author | Lillian Gathoni |
Pages | 31 |
Language | Swahili |
License period | 1095 |
Format | |
Publisher | Queenex Publishers Ltd |
SKU | 9789966140708 |
None