Longhorn Mwanga wa Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Grade 5
Longhorn Mwanga wa Kiswahili Gredi ya 5 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na umahiri mkubwa. Kimeandikwa kwa lugha nyepesi ya kiwango cha mwanafunzi wa gredi ya nne. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kimeshughulikia wanafunzi wote, wakiwemo walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali. Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu, ambao utamwelekeza mwalimu katika kutekeleza wajibu wake. Mlezi pia ameshirikishwa hasa katika mazoezi ya ziada.
KES 348
International delivery
Free click & collect
UPC | 9789966643155 |
---|---|
Author | Kenan Ngere, Mary Kikwanuu, Hellen N. Kangai, Wallah bin Wallah |
Pages | 139 |
Language | Swahili |
License period | 425 |
Format | |
Publisher | Longhorn Publishers plc |
SKU | 9789966643155 |
None