Kusoma Na Kuandika Katika Kiswahili Gredi 2
by Margaret Githui Salome Wenyaa et al.
This is an eBook that you can download electronically.
The license for this book is time-limited and will be valid for 1095 days from the date of purchase.
The license for this book is time-limited and will be valid for 1095 days from the date of purchase.
Kusoma na Kuandika katika Kiswahili Gredi 2 ni kimoja miongoni mwa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa kuzingatia mtaala mpya unaokuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kinawawezesha wanafunzi kupata maarifa ya kimsingi stadi zifaazo za kusoma na kuandika mienendo miema na maadili ya kimaisha pamoja na utumizi kamili wa maarifa wanayoyapata darasani. Shughuli na mazoezi katika kitabu hiki zimejikita kwenye uzoefu wa wanafunzi wa kila siku pamoja na masuala ya kisasa na ibuka kama yalivyofafanuliwa kwenye mtaala mpya. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi na inayoibua tafakari tanduizi ili kukuza ujuzi wa kutafakari na kuimarisha stadi za kimaisha za usuluhishaji wa matatizo ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi katika jamii.
SKU: 9789966640154
Format: EPUB
KES 258
International delivery
Free click & collect
When you buy an ebook from TBC, you will be given a code to download your
purchase from our ebook partner Snapplify. After you have redeemed the code and
associated it with a Snapplify account, you'll need to download the Snapplify Reader
to read your ebooks. The free Snapplify Reader app works across iOS, Android,
Chrome OS, Windows and macOS; on tablets and mobile devices, as well as on
desktop PCs and Apple Macs.
You're currently browsing Text Book Centre's digital books site. To browse our range of physical books as well as a wide selection of stationery, art supplies, electronics and more, visit our main site at textbookcentre.com!
Reviews
This product does not have any reviews yet.
Add your review