Kurunzi ya Marejeleo Halahala Kiswahili 5


Kurunzi ya Marejeleo Halahala Kiswahili 5 kimeandaliwa maalum ili kiwasaidie zaidi wanafunzi wa Darasa la 5 katika mazoezi na marudio ya Silabasi ya Darasa la 5 na kuwapa wanafunzi taswira kamili ya jinsi mtihani wa kitaifa wa KCPE Kiswahili unavyoandaliwa. Ni kifaa muhimu kwa walimu wanaohitaji maswali tofauti tofauti yanayoweza kutumika kwa mazoezi ya darasani, mitihani ya mwisho wa muhula na mitihani ya majaribio ya mtihani wa Kiswahili.
KES 525
International delivery
Free click & collect
UPC9789966570826
Author Yusuf Mdawida, William Andayi, Mathias Momanyi
Pages 247
Language Swahili
License period 365
Format PDF
Publisher Spotlight Publishers (EA) Limited
SKU9789966570826
None

Reviews

Leave a product review
or cancel