Kiswahili Mufti Gredi 1

by Wallah N. J. Wallah

This is an eBook that you can download electronically.
The license for this book is time-limited and will be valid for 1095 days from the date of purchase.

Longhorn Kiswahili Mufti ni kitabu kilichoandikwa kwa mtindo wa mazoezi kwa kuzingatia mtaala mpya unaokusudiwa kujenga ujuzi wa mwanafunzi kupitia utendaji na uvumbuzi wa maarifa. Kitabu hiki kimetimiza kikamilifu mahitaji ya mada zote za silabasi mpya ya somo la Kiswahili kwa wanafunzi wa gredi ya kwanza. Vilevile kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha rahisi ili kueleweka kwa urahisi na wanafunzi wa gredi ya kwanza kutoka katika mazingira mbalimbali. Msamiati uliotumika unaafikiana vyema na uwezo wa lugha ya wanafunzi katika kiwango hiki. Kimeshughulikia masuala ibuka kama vile: maadili haki za watoto usafi na afya utangamano maarifa ya ujasiriamali elimu ya maendeleo endelevu jinsia teknolojia na mazingira. Pia michoro ya kuvutia imetumiwa ili kumsaidia mwanafunzi kufahamu yaliyomo kwa urahisi na kuweza kuyahusisha maarifa na mazingira yake.
SKU: 9789966640024 Format: EPUB
KES 258
International delivery
Free click & collect
When you buy an ebook from TBC, you will be given a code to download your purchase from our ebook partner Snapplify. After you have redeemed the code and associated it with a Snapplify account, you'll need to download the Snapplify Reader to read your ebooks. The free Snapplify Reader app works across iOS, Android, Chrome OS, Windows and macOS; on tablets and mobile devices, as well as on desktop PCs and Apple Macs.

You're currently browsing Text Book Centre's digital books site. To browse our range of physical books as well as a wide selection of stationery, art supplies, electronics and more, visit our main site at textbookcentre.com!

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review