KCSE TOP MARK KISWAHILI


Madhumuni ya kitabu hiki ni kuwawezesha wanafunzi wanaojitayarisha kufanya mtihani wa Kenya Certificate of Secondary Education kufanya marudio na mazoezi ya kutosha kuambatana na mahitaji ya utaratibu uliopo wa mafunzo. Hill ni toleo la tatu la kitabu hiki tangu kichapishwe hapo mwaka wa 1990. Katika toleo, hill kitabu hiki kimepanuliwa sana na kuongezewa sehemu nyingi tofauti kwa manufaa ya mwanafunzi. Kwa mfano, maelezo kuhusu kila karatasi, mifano ya maswali na majibu yanayotazamiwa katika kiwango cha KCSE yametolewa. Toleo hili linazingatia mada zote zilizomo katika silabasi ya 2002. Pia katika toleo hili jipya, kuna mazoezi mengi ya kila kipengele. Isitoshe, kuna ufafalluzi wa vipengele vya sarufi na hasa msamiati wa aina mbalimbali. Kuna pla maelezo ya istilahi zinazohusiana na fasihi na matumizi ya lugha ili kumsaidia mwanafunzi kuinua kiwango chake cha ujuzi wa lugha. Ni imani ya mwandishi kwamba mwanafunzi atafaidi kutokana na mazoezi mengi yaliyoongezwa ili kujiandaa vyema kwa mtlhani wa KCSE
KES 609
International delivery
Free click & collect
UPC9966-44-689-3
Author J. K. King'ei
Language English
License period 1095
Format EPUB
Publisher Kenya Literature Bureau
SKU9966-44-689-3
None

Reviews

Leave a product review
or cancel