Chemchemi za Kiswahili Book 4
Chemichemi za Kiswahili ni mfulilizo mpya wa vitabu vya kiswahili ambavyo vimetayarishwa kwa kufuata silabasi mpya kwa shule za upili. Kitabu cha chemichemi za kiswahili, kidato cha nne kimezingatia mambo yafuatayo: Vifungu vya ufahamu vya kuvutia na kusisimua vitakavyompa mwanafunzi mafunzo na mazoezi teletele, Maelezo na ufafanuzi mustahili wa vipengele mbalimbali vya fasihi andishi na fasihi simulizi, ufafanuzi wa kina kifaacho kuhusu uandishi wa kawaida, uandishi wa pamoja na mpangilio mpya wa ngeli, mafunzo na mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza , usomaji wa makala mbalimbali katika magazeti, majarida, vitabu na kadhalika.
KES 343
International delivery
Free click & collect
UPC | 996649527.4 |
---|---|
Author | Dr. Kyallo W Wamitila |
Pages | 366 |
Language | Swahili, English |
License period | 1095 |
Format | EPUB |
Publisher | Longhorn Publishers Ltd |
SKU | 996649527.4 |
None