BWANA KANORU AFISA FISADI
Kitabu hiki kinaangazia mambo mawili ambayo yanatatiza
nchi nyingi za ulimwengu, uharibifu wa mazingira na
ufisadi. Ni wazi kwamba mambo haya mawili ni lazima
yakabiliwe vilivyo kwa kuihamashisha jamii kuanzia utotoni
mwao. Mitalaa ya elimu ina umuhimu sana katika kutatua
maswala haya. Kitabu hiki kinalenga watoto wa miaka
9 - 10.
Mwandishi anaeleza mambo haya mawili
kwa lugha nyepesi kupitia hadithi ya
watoto. Anaangazia madhara ya matukio
haya mawili. Mwandishi pia anawatuza
wale ambao hufuata maadili mema katika
jamii.
Mwandishi ameandika vitabu vingine vya watoto na riwaya
za watu wazima kama, THE WIDOWS OF AFRICA -
DAUGHTER OF MUTI (MWARI WA MUTI), CHIEF
JOTHAM AND HIS SYCOPHANTS, KAROSI'S MAIZE
FLOUR CHAPATI, KAROSI NA CHAPATI YA MAHINDI
na CORRUPT KANORU.
KES 375
International delivery
Free click & collect
UPC | 9789966747747 |
---|---|
Author | JAMES MWAURA WAMUHIU |
Pages | 30 |
Language | Swahili, English |
License period | 1095 |
Format | |
Publisher | NAIROBI MAP SERVICE LIMITED |
SKU | 9789966747747 |
None